Bendera
ya Jumiiya ya nchi za Asia(ASEAN)ikipandishwa kwa mara ya kwanza nchini
Tanzania jana jioni Ubalozi wa Indonesia jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Indonosia Yudhistranto Sungadi, akisoma risala fupi jana jioni
wakati wa upandishwaji wa bendera ya Jumuiya ya nchi za Asia(ASEAN)jana
jioni kwenye ofisi za ubalozi wa Indonesia jijini Dar es Salaam. Halfa
hiyo ilikwenda sambamba na m,aadhimisho ya miaka 44 ya jumuiaya hiyo.
Mabalozi
wa nchi mbali wa nchi mbali mbali za bara Asia na wageni wengine
wakiwa katika hafla hiyo jana jioni katika ubalozi wa Indonesia jijini
Dar es Salaam. Picha zote na Victor Makinda.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)