JK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO


Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Balozi George Nhigula, Tabata, Dar es Salaam. Alifariki dunia Agosti 14 katika Hospitali ya Magomeni Mikumi Dar es Salaam alikokuwa akipata matibabu. Balozi Nhigula aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwamo ubunge, balozi katika nchi mbalimbali na Katibu Mkuu wa kwanza Mwafrika katika Wizara ya Kazi kuanzia mwaka 1965 hadi 1966. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages