EWURA YASEMA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA UMEFUATA UKOKOTOAJI WA KAWAIDA WA KILA WIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

EWURA YASEMA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA UMEFUATA UKOKOTOAJI WA KAWAIDA WA KILA WIKI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw. Haruna Masebu, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ufafanuzi wa jinsi wanavyokokotoa kila baada ya wiki mbili bei elekezi/kikomo cha mafuta ya petroli, dizeli na taa kwa kufuata soko la dunia na thamani ya shilingi kulinganisha na dola ya Marekeni. Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Bw. Titus Kaguo.
Picha na Kamanda Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages