Mbeya Mjini picha na Fredy Tony Njeje
Hofu ya kupimwa ugonjwa wa UKIMWI, kaswende, kisonono pamoja na homa ya ini imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi mkoani Mbeya kuchangia damu salama kwa hiari.
Hofu ya kupimwa ugonjwa wa UKIMWI, kaswende, kisonono pamoja na homa ya ini imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi mkoani Mbeya kuchangia damu salama kwa hiari.
Hayo yameelezwa na Dakta Barima Lelo wakati wa mahojiano na bomba fm ofisini kwake kuhusu mpango wa uchangiaji wa damu salama.
Dakta Lelo amesema wahitaji wa
damu salama wamekuwa wakiongezeka kila siku huku idadi ya wachangia wa
damu salama ikipungua hali inayopelekea kituo hicho kushindwa kutoa
huduma yake kikamilifu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)