Mzee
wa Komesho Msaniiiii A.Y kutoka Nchini Tanzania (katikati)akiwa
amaehsikilia tuzo yake yake ya East Afrika Music Awards.Kulia ni
mtangazaji Mahiri wa Clouds Radio B12
Mwimbaji wa nyinbo za injili Chrotina Shusho akiwana Tuzo Yake
Mwakilishi wa Bendi ya Msondo Ngoma akionyesha tuzo walionyakua kwenye Best Rhumba Group
katika East Africa Music Awards mashindano yariyofanyika Nairobi Kenya
na kukusanyika kwa bendi za Afrika Mashariki na bendi ya msondo kuibuka
Kidedea katika mashindano hayo akisibitisha ushindi uho meneja wa bendi
Saidi KIbiriti.
Picha na Habari na Dada Sauda Kilumanga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)