Mbunge wa Kwimba (CCM) Richard Ndassa, akichangia
Bungeni leo wakati wa makadilio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na
Bishara.
Mbunge wa Lindi (
CUF ) Salim Baruani, akifuatilia mjadala wa mwaka wa fedha ya wizara ya Viwanda
na Biashara 2011-2012 Dododma.
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini,
CHADEMA- akichangia hotuba ya ya makadirio na mapato na matumizi ya Wizara ya
Viwanda na Biashara kwa mwaka wa Fedha 2011-2012.
Mbunge
wa Nzega (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla, akichangia wakati wa Bajeti ya mapatto
na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara mjini Dodoma leo
"Afadhali
mkuu Bajeti yetu mmeipitisha sasa ni kazi tu mkuu wangu"
Waziri
Mkuu Mizengi Pinda (kulia) , Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
anaesshughulikia Sera Uratibu na Bunge William Lukuvi,(katikati
)
pamoja na Wazri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. William Nchimbi
wakijadiliano jambo wakati wakiwa katika ukumbi wa Bunge leo.
Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)