Mtaalam wa mitambo
ya kutotolesha vifaranga kutoka Shirika la Elimu Kibaha, Isdori Chikawe,
akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga
Ufaidike’ Jaqueline Chipanda (Wa kwanza kulia)
ufanyaji kazi wa mitambo hiyo. Kwa wiki kampuni hiyo inazalisha
vifaranga.
Mkurugenzi wa
Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Jaqueline Chipaka (Wa pili
kulia) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia
mayai yanayoingizwa kutoka nchini Marekani akiwaelekeza jambo wafanyakazi wa
mitambo hiyo jinsi ya uhifadhi bora wa vifaranga. Wa kwanza kulia ni Mtaalam wa
mitambo hiyo Isdori Chikawe.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Jaqueline Chipaka (Kushoto)
inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai
yanayoingizwa kutoka nchini Marekani akielekezwa jambo na Mtaalam wa mitambo
hiyo Isdori Chikawe.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)