Meneja
Uhusiano kutoka Wakala wa Umeme Vijijini Bi. Jaina Msuya akimpokea
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa heshima wakati akiingia kwenye banda la
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ili kujionea shughuli zinazofanywa na
wakala huo kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini
yanayoendelea kwenye viwanja vya bunge Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Fundi Sanifu Bi Jemina
Sadatale kutoka Mradi wa Umeme Jua wa KKKT Mpwapwa unaofadhiliwa na
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) mara alipotembelea banda hilo kwenye
maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea katika viwanja
vya bunge mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini mtaalamu Bw. Godwin Msigwa
kutoka kampuni ya vifaa vya umeme jua ya Ensol Tanzania Limited
inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini REA) alipotembelea banda
hilo kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea
katika viwanja vya bunge mjini Dodoma.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)