Mhandisi
Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la
Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji
yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto hicho kiwango cha juu cha
kuzalisha umeme ni mita 698 wakati cha chini cha kuzalisha nishati hiyo
ni mita 690 na jana (juzi) kipimo hicho kilionyesha mita 690.74,
ambapo. Bwawa hilo linazalisha umeme MW 33 badala ya MW 80.
Mhandisi
Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituoncha kuzalisha umeme kwenye bwawa la
Mtera akitoa maelezo ya jinsi mtambo wa uendeshaji wa umeme unavyofanya
kazi kwa waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiangalia jinsi bwawa la Mtera ilivyopungua maji.
Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye
bwawa la Mtera ,Julius Chomolla akionyesha kipimo cha kuonyesha maji
yaliyopungua.
Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari
wakipata maelezo ya uzalishaji wa umeme katika kituo cha Mtera.Picha na
Magreth Kinabo-MAELEZO





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)