NAPE NNAUYE,SAMWEL SITTA,HARRISON MWAKYEMBE, OLE SENDEKA NA DAVID MWAKYUSA WALIPONGURUMA JIJINI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAPE NNAUYE,SAMWEL SITTA,HARRISON MWAKYEMBE, OLE SENDEKA NA DAVID MWAKYUSA WALIPONGURUMA JIJINI MBEYA


KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa,Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya leo
Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya-CCM,Prof. David Mwakyusa akihutubia. Kushoto ni Nape
Mbunge wa Kyela -CCM,Naibu waziri Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia
Mbunge wa Urambo-CCM, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki akihutubia 
Mbunge wa Simanjiro-CCM  Ole Sendeka akihutubia
Mjumbe wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akihutubia
Nape akimkaribisha  Mwenyekiti wa Mtandaano wa Chadema wa wanataaluma Prince  Mwaihoja
Nape akicharaza gita na Kikundi cha TOT cha Mbeya. Kulia ni Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa, Mbunge wa Urambo, Samwel Sitta
Msafara ukiingia uwanjani.Picha na  Mpigapicha Maalum

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages