Kamanda
wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akionesha silaha aina ya SMG
yenye magazine 2 za AK 47 moja ikiwa na risasi 40 na SMG yenye risasi
35 ambayo ilitumika kupora jumla ya shilingi 149,722,150 za Benki ya
NMB wilayani Kyela mkoani Mbeya.Picha na Mdau Mkwinda
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)