Mtangazaji wa Redio Clouds Mully B akiwapa pesa ya kununua maji watoto
waliotoka kutahiriwa ambao walikutana nao mtaani mjini Musoma.
Picha hii ilichukuliwa wakati team ya Clouds Fm ilipokuwa mitaani mjini
Musoma na kukutana vijana ambao walikuwa wametoka kutahiriwa, kwa roho
ya huruma mtangazaji wa Clouds Fm Mully B aliwaita watoto hawa na
kuwapatia msaada wa pesa ya kununulia maji waliposema wanakiu sana na
wanatembea umbali mrefu kutoka walipo na kuelekea wanapoelekea.(Picha na Habari na Matukio)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)