Ofisa
Mawasiliano na Mtafuta Fedha wa AMREF-Tanzania, Agnes Kabigi (kulia)
akitoa maelezo juu ya huduma mbalimbali za shirika hilo katika banda la
AMREF ndani ya Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.
Katika
maonesho ya mwaka huu pindi ukiingia katika kila banda kitu cha kwanza
kukaribishwa nacho ni harufu kali ya vitunguu itokayo katika mabanda
hayo. Hii ni kutokana kuwepo kwa wingi wachina wauzao mashine za kukatia
mbogamboga jikoni.
Habari Na Father Kidevu Blogu
Habari Na Father Kidevu Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)