Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu
Utambuzi wa usajili na Vitambulisho vya Taifa,katika ukumbi wa Ocean
View Hotel Kilimani Zanzibar jana,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Sei Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu
Utambuzi wa usajili na Vitambulisho vya Taifa,katika ukumbi wa Ocean
View Hotel Kilimani Zanzibar jana,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Sei Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya utambuzi na usajili wa Vitambulisho vya Taifa,
Dickson Maina,akizungumza akitoa taarifa kuhusiana na mamlaka ya
vitambulisho wakati wa ufunguzi wa Semina kwa wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
Baadhi
ya watendaji wa Mamlaka ya utambuzi na usajili wa vitambulisho vya
Taifa (NIDA) wakisikiliza kwa makini hotuba iliyotolewa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu
Utambuzi wa usajili wa Vitmbulisho vya Taifa,katika ukumbi wa Ocean
View Hotel Kilimani Zanzibar jana
Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed
Shein akitoa hotuba yake katika ufunguzi wa Semina ya wajumbe hao
inayohusu usajili wa vitambulisho vya Taifa,iliyoandaliwa na Mamlaka
ya Utambuzi na Usajili vitambulisho vya Taifa,(NIDA) katika ukumbi wa
Ocean View Hoteli Kilimani Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,
Ikulu-Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)