Katika
kusheherekea siku kuu ya Sabasaba 2011, warembo wa REDDS MISS TEMEKE
walikwenda kubarizz katika ufukwe huko Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Na hapa wanaonekjana warembo hao wakiwa katika picha mbalimbali za
burudani huko Kigamboni.
Hapa nadhani ni kiduku kilikuwa kinachezwa...
Huyu aliingia kati na kukatika vilivyo...
Mduara nao ulikuwepo....
hapa
ni ni mwendo wa kwaito ...Vimwana wanaowania taji la Redds Miss
Temeke, wakicheza na kuburudika katika fukwe ya South Beach Kigamboni
walipokwenda kuvinjari ikiwa ni mapumziko ya sikukuu ya Sabasaba,
Viwamna hao watachuana July 16, mwaka huu kwenye ukumbi wa TCC,
Chang'ombe.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)