WALIMBWENDE WA REDDS MISS KINONDONI WAENDELEA NA MAZOEZI YA NGUVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WALIMBWENDE WA REDDS MISS KINONDONI WAENDELEA NA MAZOEZI YA NGUVU


 Wanyange wanao wania taji la REDDS MISS KINONDONI 2011 wakiwa katika mazoezi yao yanayofanyika katika ukumbi wa Mzalendo jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia TBL, Fimbo Butala (katikati walioketi) akiwa katika picha ya pamoja kati ya warembo na waandaaji wa shindano hilo baada ya kumalizika kwa mazoezi yao ya kujifua na shindano hilo.Wengine walioketi ni Rahma George na Yusuph George.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages