UJENZI: WA MADARASA, KITUO CHA POLISI TARAFA YA ULANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UJENZI: WA MADARASA, KITUO CHA POLISI TARAFA YA ULANGA

Image 
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Nawenge, Tarafa ya Vigoi, Wilaya ya Ulanga, wakijitolea kufyatua tofali kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa vyumba vya madarasa ya shule za msingi, sekondari, zahanati na vituo vya Polisi, katika tarafa hiyo kama walivyokutwa kijijini hapo.(Picha na John nditi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages