WAHESHIMIWA WABUNGE WAKITETA JAMBO NA NAIBU WAZIRI LAZARO NYARANDU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAHESHIMIWA WABUNGE WAKITETA JAMBO NA NAIBU WAZIRI LAZARO NYARANDU


 Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Masoko Lazaro Nyalandu katikati na Mbunge wa Viti Maalum Singida Martha Mlata kushoto wakimsiliza kwa makini mbunge wa Jimbo la Kilindi Beatrice Shelukindo katika viwanja vya Bunge Dodoma jana

1 comment:

  1. Anonymous9:45 AM

    mheshimiwa hongera sana by peter monko

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages