MKUU WA MAJESHI NCHINI JENERALI MWAMNYANGE AKIFURAHI JAMBO NA BAADHI YA WABUNGE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MAJESHI NCHINI JENERALI MWAMNYANGE AKIFURAHI JAMBO NA BAADHI YA WABUNGE


Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Davis Mwanyange kulia akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Singida, Martha Mlata katikati na kushoto ni mbunge wa viti maalum Arusha Namelock Sokoine mara baada ya kutoka katika ukumbi wa Bunge Dodoma jana.Picha na Magreth Kinabo-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages