MKUTANO WA SIKU 2 WA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI WAFUNGULIWA LEO JIJINI ARUSHA NA JAJI MARK BOMANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA SIKU 2 WA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI WAFUNGULIWA LEO JIJINI ARUSHA NA JAJI MARK BOMANI


Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL)Jaji Mstaafu,Mark Bomani akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Arusha hii leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Siku Mbili wa Wahariri ulioandaliwa na Jukwaa la Wahariri (TEF)na kufanyika mjini hapa.
Jaji Mark Bomani ambaye mbali na kuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL lakini pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Vyombo vya Habari nchini akifungua mkutano huo. Pamopja nae kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TEF,Absalom Kibanda, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL,Teddy Mapunda na Katibu Mkuu wa TEF, Nevily Meena.
 Baadhi ya wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo wa siku mbili wa"Editors Retreat"unaofanyika katika Hoteli ya Kibno Palace mjini Arusha wakimsikiliza Jaji Mstaafu Mark Bomani wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages