MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifunguwa Tamasha ski
ya Utamaduni wa Oman katika iwanja vya Makumbusho ya Taifa Forodhani
Beit Al Ajab.
Balozi
Mdogo wa Oman Zanzibar Majid Abdalla Al Abaad akitowa maelezo ya
matayarisho ya Tamasha hilo wakatik wa ufunguzi wake uliofanywa na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
NAIBU
Waziri wa Urithi na Utamaduni Shekh. Hamad Al Mamriy akitowa hutuba
yake kwa niaba ya Wananchi wa Oman katika sherehe za kuzinduwa siku ya
Utamaduni wa Oman.
KATIBU
Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Ali Mwinyikai.
akitowa maelezo ya ushirikiano wa Utamaduni wa Zanzibar na Oman.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd wa tatu kulia
akiangalia ngoma katika sherehe za uzinduzi nwa tamasha,kutoka kulia
Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Majid Abdalla Al Baad, Naibu Waziri Urithi
na Utamaduni wa Oman Shekh. Hamad Al Mamriy,Waziri wa Habari Utamaduni
Utalii na Michezo Abdilla Jihad Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akikabidhiwa zawadi na
Naibu Waziri wa Urithi na Utamaduni wa Oman Shekh. Hamad Al Mamriy
baada ya uzinduzi.
WASANII
wakionesha jinsi ya urembo wa upakaji wa Hina ya Kioman katika tamasha
hilo wakati wa ufunguzi wake, na kutowa huduma hiyo kwa Wananchi
wanaofika katika maonesho hayo bure bila ya malipo ikiwa ni kuimarisha
uhusiano wa kitamaduni na Zanzibar.
MSANII akiomnesha Utamaduni wa Oman katika kuweka mapambo ya fedha
WASANII
kutoka Oman wakicheza Ngoma yenye asili yaOman katika serehe za
ufunguzi wa Tamasha la siku ya Utamaduni wa Oman katika viwanja wa
Makumbusho ya Taifa Beit Al Ajab.
Picha na Mdai Othman Maulid-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)