Godzilla mtoto wa Salala, akimwaga mistari jukwaani .
Profesa Jay moja kati ya wasanii wakongwe waliotumbuiza ambapo
waling'ara huku mashabiki waliimba pamoja nayeye kama Zali la Mentali na
nyinginezo.
Watoto wa Manzese Kundi la Tip Top wakiwa jukwaani katika tamasha linaloendelea la Serengeti Fiesta 2011.
20% akiwa Jukwaaani hapa akiwa mbaali ambapo amefanikiwa kwwa kuwapa
msimu wa dhahabu wakazi wa Iringa kutokana na kuimba nyimbo zake
zinazopendwa na wengi kama Tamaa Mbaya na nyinginezo.
Msanii wa kike anayechipukia Dayna akiwa jukwaaani katika tamasha la Serengeti Fiesta.
Na Bongo Weekend Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)