TASWIRA ZA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Mbunge wa Ilala Azan Zungu kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana,Dr.Grand Sapara,Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na Ujumbi kutoka Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai jana.Kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira ,Gaudencia Kabka.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages