ROSTAM AZIZ ALIPOKUA AKISOMA HOTUBA YAKE YA KUJIUZULU JUZI IGUNGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ROSTAM AZIZ ALIPOKUA AKISOMA HOTUBA YAKE YA KUJIUZULU JUZI IGUNGA

 Rostam Aziz(kushoto)akisoma hotuba yake ya kujiuzulu mbele ya wazee na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Igunga, ambao wengi wao waliangua kilio baada ya kusikiliza tamko lake.
 Vilio vya kwikwi na sauti pia vilitawala kufuatia uamuzi wake huo kwani licha ya kuandamwa na maneno mengi lakini huenda wananchi wa jimbo la Ingunga mkoani Tabora walikuwa wanafaidika sana na uongozi wake jimboni humo.
Kwakua alikuwa akiongea na wazee lakini Vijana nao hawakusita kuonesha masikitiko yao pale walipofika ghafla na mabango yaliyo na jumbe mbalimbali.Picha Zote na Mdau Abdulwakil Saiboko

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages