MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA RAIS WA MFUKO WA KUWAIT UKANDA WA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA RAIS WA MFUKO WA KUWAIT UKANDA WA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed harib Bilal, akisalimiana na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi  Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanyanaye mazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi  Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanyanaye mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi  Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanya naye mazungumzo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania,Samy Mohammed.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages