Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.
Mke wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya New Habari (2006) (Ltd), Marehemu Danny Mwakiteleko, Winnie,(wa kwanza kushoto) akiwa na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu Tabata, Dar es Salaam leo.
Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika nyumbani kwa marehemu. tutazidi kuwaletea taarifa juu ya msiba wa mpiganaji, Dany Mwakiteleko.
Baadhi ya wafanyakazi wa New Habari (2006) Ltd, wakiwa nyumbani kwa marehemu Dany Mwakiteleko Dar es Salaam leo jioni.
Ndugu na majirani wakiwa nyumbani kwa Marehemu Dany Mwakiteleko, Tabata, Dar es Salaam jioni ya leo.Picha Zote na Mdau Victor Makinda





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)