Mshindi wa Vodacom Miss Eastern Zone 2011, Loveness
Flavian (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Asha Saleh
(kushoto) na Mariaclara Mathayo aliyeshika nafasi ya tatu.
Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakifungua
shindano lao kwa kucheza show usiku huu wa Julai 22,2011 katika Hoteli ya Oasis
mjini Morogoro.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)