Mwili
wa Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo)Sozzy Mahmoud(Picha ya
juu) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia juzi umesafirishwa jana kwenda
Mto wa Mbu Arusha kwa ajili ya Mazishi.Msafara wa kuelekea Mto wa Mbu
mwili wa Sozzy ambaye alikuwa mke wa Mkurugenzi wa Uhuru FM, Mikidadi
Mahmoud yalifanyika nyumbani kwao, Karakata, Kipawa Dar es Salaam.
Waziri
Nchimbi(kushoto)akimpa pole Mikidadi Mahmoud msibani kufwatia kifo cha
Mke wake Sozzy Mahmoud .Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM,Wilson
Mukama na watatu ni Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru
Waandishi wa habari waandamizi waliokuwa karibu na Sozzy wakiwa katika majonzi mazito wakati wa kuangwa mwili wa marehemu.
Nape
Nanuye akiteta jambo na Waziri Nchimbi walikuwa wakisema hapa, wakati
wa kuangwa marehemu Souzzy jana.Picha Zote na Richard Mwaikenda






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)