
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela(Kulia)akimsikiliza Mtaalam wa
Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (Wa pili kushoto)
wakati wa hafla ya makabidhiano wa simu 20,Tshirt 300 na fedha taslimu
shilingi milioni 15/- zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na
maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu.Wengine ni Meneja Mauzo wa
kampuni hiyo kanda ya kati Macfaydyne Minja(Kushoto)na Atilia Lupala
ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela(Wa pili Kulia)akiangalia
ubora wa simu 20, Tshirt 300 na fedha taslimu shilingi milioni 15/-
alizopokea kutoka kwa Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya kati
Macfaydyne Minja zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na maandalizi
ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu.Anayeshuhudia(Katikati)ni Atilia
Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani wa kampuni hiyo na kulia ni Dk
Samson Muniko Katibu wa Taso kanda ya kati .
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela ( Kulia) akiteta jambo na
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania (Kutoka kushoto) na Meneja Mauzo kanda
ya kati Macfaydyne Minja, Atilia Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya
Pwani na Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu
wakati wa hafla ya makabidhiano ya simu 20, Tshirt 300 na fedha
taslimu shilingi milioni 15/- zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano
na maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu.Picha Zote na Vodacom
Tanzania







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)