Viongozi Wa Chadema Kutoka Makao Makuu Na Jimbo La Segerea Wakiongozwa Na diwani Wa Kata ya Segerea Azuhuri Mwambagi pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la segerea kupitia Chadema Mh Fredy Mpendazoe Wakisalimiana Mara baada Ya Kumaliza Kuimba Wimbo Wa Tanzania Tanzania
Wanachama Wa Chadema Wakiwa Chini Ya Turubai Wakisikiliza kwa Umakini hotuba Ya Mpendazoe
Wananchi Na Wanachama Wa Chadema Wakisikiliza Kwa Umakini Kabisa Maelekezo Yaliyokuwa Yakitolewa Na Fred Mpendazoe Juu Ya Uanzishaji Wa Chama Cha Jamii (CCJ) na Kuwataja Waanzilishi Wa CCJ hadharani.
Raia Wakisikiliza Mkutano Huo Uliofanyika Jana Katika Viwanja vya Shule ya Msingi Liwiti Tabata Segerea
Wananchi wakiwa makini kusikiliza kinachoelezwa na Fredy Mpendazoe Juu ya CCJ na Waanzilishi Wake.
Picha Zote Na Mpiga Picha Maalumu Wa LUKAZA BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)