Mbwana Matumla Kuzichapa na Francis Miyeyusho Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mbwana Matumla Kuzichapa na Francis Miyeyusho Jijini Dar es Salaam


 KUSHOTO NI BINGWA WA UBO ANAYETETEA MKANDA WAKE MBWANA MATUMLA NA KULIA NI MPINZANI WAKE FRANCIS MIYEYUSHO HAPA NI BAADA YA KUSAINI KUPAMBANA TAREHE 30 OCT DIAMOND JUBILEE.KATIKATI NI DIRECTOR WA DARWORLD LINKS LTD AMBAO NI WAANDAAJI WA PAMBANO HILO MODDY BAWAZIR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages