Waziri Mkuu Mizengo Pinda(Kulia)akiteta jambo na Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bi Mwamvita Makamba
kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa Kuwapa mikopo isiyo na riba kwa
wajasiriamali wadogo wanawake MWEI utakaowezeshwa na huduma ya M Pesa inayotolewa na Vodacom uliofanyika
mwishoni mwa wiki kijiji cha Bwigiri mkoani Dodoma. Mpaka kufikia
Julai 2011 tayari wanawake 4500 wamefikiwa na kukopeshwa shilingi
milioni 90/-.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)