TASWIRA ZA UBUNGO KWENYE MATAA ASUBUHI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA UBUNGO KWENYE MATAA ASUBUHI HII

Magari yakiwa Kwenye Foleni Kama Kawaida ya barabara hii kuanzia mida ya saa moja asubuhi hadi mida ya mchana
Askari Wa Usalama barabarani Akifanya Kazi yake ya Kuongoza Magari Ili kuona kama Anaweza kupunguza foleni Hiyo
Magari Yakiwa Kwenye Foleni Maeneo Ya Ubungo Kwenye Mataa yakingojea Kuruhusiwa Kuendelea na Safari zao
Hapo Magari Yatokayo Maeneo Ya Kimara Mbezi yaliporuhisiwa
Askari Wa Usalama Akiruhusu Magari Upande Wa Pili Mara baada ya Upande Wa Mbezi Kuonekana Kuisha Kwenye Foleni.
Picha Zote Na JOSEPHAT LUKAZA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages