RASISI KIKWETE NA WANA CCM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA TANU USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RASISI KIKWETE NA WANA CCM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA TANU USIKU WA KUAMKIA LEO


Rais Kikwete na Mzee Milinga wakishirikiana kubonyesha king'ora hicho
Baada ya burudani, Kikwete akiambatana na muasisi wa mstari wa mbele wa TANU kati ya wawili waliopo hai Costantine Milinga, kwenda kuliza king'ora ilipotimu saa sita kamili usiku wa kuamkia leo 
Nape akatumia fursa hiyo kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kwa nyakati tofauti baada ya Mwenyekiti,Rais Kikwete kuondoka.Hapa anazungumza na watangazaji wa Uhuru FM.
Picha na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages