Waziri
wa Fedha, Mhe. Mustafa Mkulo, akisaini kitabu cha wageni,
alipolilitembelea banda la PSPF kwenye maonyesho ya kimataifa ya
Biashara ya Dar es Salaam, ambapo Mfuko huo, umehamishia baasdhi ya
huduma zake, kwenye banda lake la sabasaba.
Mwanachama
wa PSPF akishuhudia mkokotoo wa mafao yake yote pindi atakapo staafu.
Mkokotoo huo, umefuatia maofisa wa PSPF kumkokotolea mafao yake kwenye
banda la PSPF kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Kwa Habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)