RAISI KIKWETE ALIPOTEMBELEWA NA BALOZI AMINA SALUM ALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE ALIPOTEMBELEWA NA BALOZI AMINA SALUM ALI

Balozi Wa Umoja wa Afrika (African Union) nchini Marekani Balozi Amina Salum Ali akiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dra es Salaam Muda mfupi baada ya kumaliza Mazungumzo hivi karibuni
Rais Jakaya Kikwete(Kulia)akimkaribisha Balozi Umoja wa Afrika(African Union)nchini Marekani Balozi Amina Salum Ali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Balozi Wa Umoja wa Afrika(African Union)nchini Marekan, Balozi Amina Salum Ali Akijadiliana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea hivi karibuni pamoja na mambo mengine Balozi Amina Salum Ali alimpa Muktasari Rais Jakaya Kikwete mpango kabambe wa kuwavutia wawekezaji nchini Tanzania na bara zima la Afrika katika mchakato wa maendeleo.
Picha na Mpiga Picha Maalum wa www.Hakingowi.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages