WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Mwinyihaji Makame akimsalimia Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II,
alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku
moja Zinzibar.
MAKAMU
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad,akizungumza na
mgeni wake Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, alipofika Ofisini
kwake kwa mazungumzo.
MAKAMU
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Sharif Hamad akipokea zawadi
kutoka kwa Msaidi wa Mfalme wa Ashanti, alipofika Ofisi kwa Makamu kwa
mazungumzo.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa mgeni wake
Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, alipofika Ofisini kwake kwa
mazungumzo Vuga.
MAKAMU
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad na Mfalme wa
Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya
Ofisi ya Makamu Migombani.
MFALME
wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, akipata maelezo ya mkarafuu katika
shamba la kizimbani akiwa katika ziara yake Zanzibar, akiwa na
Mwenyeki wake Dk. Mwinyihaji Makame.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Mwinyihaji Makame akitowa maelezo ya miti ya Viungo katika shamba la
Kizimbani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)