Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa Wilson Mukama baada ya kuingia ukumbini
Viongozi wa nyumba kumi na viongozi wa mashina na matawi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi na
viongozi wa mashina na matawi ya CCM katika wilaya zote za mkoa wa Dar
es Salaam, mchana, ubungo Plaza ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya
kuzaliwa TANU na madhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)