WAZIRI MKUU AKAGUA MELI ITAKAYOFANYA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AKAGUA MELI ITAKAYOFANYA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI TANZANIA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua meli itakayofanya utafiti wa mafuta na Gesi kwenye  pwani ya Mtwara na Mafia inayomilikiwa na  kampuni ya PETROBAS  ya Brazil   Julai 7, 2011 . Meli hiyo iliyotengenezwa   kwenye bandari ya  Geoje nchini Korea ambako Julai 8, 2011 inatarajiwa kuzinduliwa itaweka  nanga kwenye bandari ya Mtwara miezi miche ijayo ili kuanza kazi ya utafiti wa mafuta na gesi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi  wa kiwanda cha kusindika samaki cha Geoje kilichopo katika mji wa viwanda  wa Geoje nchini Korea ya Kusini Juni 7, 2011 baada ya kukagua shughuli za kiwanda hicho.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages