RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA TAIFA JIPYA LA SUDANI KUSINI, AFUATANA NA MAMA SALMA KIKWETE NA ZITTO KABWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA TAIFA JIPYA LA SUDANI KUSINI, AFUATANA NA MAMA SALMA KIKWETE NA ZITTO KABWE

Mke wa Rais, Mama Kikwete, akipokea shada la baada ya kuwasili na baada ya kuwasili mjini Juba na rais jakaya Kikwete katika sherehe za taifa jipya la nchi ya Sudan Kusini jana jioni.
Rais Jakta Kiwkete na Mama Salma Kikwete wakiwa na mweneyeji wao, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini, Jenerali Salva Kiir Mayardit walipowasili mjini Juba kwenye sherehe za kuzaliwa kwa taifa la nchi hiyo.
Rais Kikwete akizungumza na Rais wa taifa jipya la Sudan Kusini Jenerali Salva Kiir Mayardit . Katikati ni Mama Salma Kikwete



Rais Kikwete akimpongeza Rais huyo mpya wa Sudan Kusini. Katikati ni Mama Kikwete
Mbunge za Zitto Kabwe aliyefuatana na Rais Kikwete kwenye sherehe hiyo, akimpongeza Salva Kiir Mayardit wa taifa hilo jipya la Sudan Kusini
(Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages