Mwandishi, akisakata muziki kwa mtindo wa Kiduku
Da' Secy, Mwandishi na Mtangazaji wa Radio Uhuru akijimwaga
Warembo wakiwa wametia pozi leo mchana, Kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi
Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa wapepozi mbele ya Kamera
Warembo wakiserebuka
Waandishi
wa Habari (kulia na warembo wanaowania taji la Mis Temeke wakiwa
katika mpambano mkali wa kuvuta kamba leo jioni katika ufukwe wa Bahari
ya Hindi kwenye Hotel ya Cine Club,katika bonanza lillioandaliwa na
Bia ya Reds ambalo liliwakutanisha warembo wanaoshiriki Mashindano ya
urembo katika Wilaya za Temeke,Ilala na Kinondoni na waandishi wa
habari wanawake.Katika mchezo huo waandishi wa habari waliwashinda
warembo hao.Picha na Mdau Victor Makinda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)