Warembo
wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakipita kwenye zulia
jekundu kuingia kwenye Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza Jijini Dar es
Salaam kuhudhuria usiku wa warembo hao ulioandaliwa naVodacom Tanzania
ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka
huu.
Baadhi
warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakiwa kwenye
picha ya pamoja ndani ya Club ya Sun Sirro wakati wa hafla ya usiku
warembo wa kanda hizo ulioandaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo
ndio wadhamini wakuu wa Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.
Baadhi
warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki
ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa
hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni
hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu.
Mtaalam
wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(Wa pili
kushoto) na Afisa Huduma na Bidhaa wa kampuni hiyo Elihuruma Ngowi
(kulia) wakishauriana jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Miss Kinondoni
Boy George (katikati) wakati wa usiku wa warembo wa Kinondoni, Temeke
na Ilala. Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom
Miss Tanzania mwaka huu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)