Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na
jeshi la Ulinzi la Afrika ya Kusini wakati wa mwanzo wa Ziara yake
Rasmi ya kitaifa nchini Afrika ya Kusini jana.
Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati yeye na Mwenyeji
wake Rais Jackob Zuma walipokuwa wakizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari katika ikulu ya Afrika ya Kusini jijini Pretoria
jana.Rais Dr.Jakaya Kikwete yupo nchini Afrika ya Kusini kwa ziara
Rasmi ya Kitaifa ya siku mbili(
Mawaziri
wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na
Tanzania Bernard Membe na Bi. Maite Nkoana Mashabane wakibalishana
mikataba ya kuanzishwa kwa Tume ya Ushirikiano(Bi-National Commission)
kati ya nchi hizo mbili muda mfupi baada ya kusaini katika ikulu ya
Afrika ya Kusini jijini Pretoria jana huku marais Dr.Jakaya Mrisho
Kikwete na Jackob Zuma wakishuhudia.Picha na Freddy Maro-IKULU









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)