Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akitoa
mada leo asubuhi kwenye mkutano wa wadau wa mawasiliano uliofanyika
katika ukumbi wa Mlimami City, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo
ulikuwa ukijadili juu ya rasimu ya sheria ya mawasiliano ya
Kielectroniki na Posta.
Wadau wa mawasiliano wakiwa katika mkutano huo. Picha zote na Victor Makinda





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)