Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma, Profesa,Idris Kikula,kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti
Maalum-Chadema,Magdalena Sakaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akitazama vitabu na machapisho mbalimbali katika
maonyesho ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma leo
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais , Siasa na Uhusiano wa Jamii, Stephen Wasira (kushoto),
Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idris Kikula(wapili
kushoto), Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata na Waziri wa Ujenziri wa
Ujenzi, John Magufuli, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)