POLISI JIJINI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI WANAPOSAFIRISHA FEDHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

POLISI JIJINI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI WANAPOSAFIRISHA FEDHA

        SACP Suleiman Kova.
 
Jeshi la polisi kanda maalum ya DSM limewataka wananchi, taasisi pamoja na makampuni mbalimbali kuwa makini wanapokuwa wakisafirisha fedha nyingi bila ya kuwa na ulinzi wa kutosha kutokana na kuibuka kwa Vitendo vya Uporaji hapa jijini.

Tahadhari hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM ABDUL NINA wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari.


Kwa upande wake Mkuu wa upelezi wa makosa ya jinai wa kanda hiyo AHMED MSANGI ameyataka makampuni, taasisi kuanza kutumia njia ya electroniki ili kuendana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages