ASKARI POLISI WASIOFUATA MAADILI YAO YA KAZI KUWAJIBISHWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASKARI POLISI WASIOFUATA MAADILI YAO YA KAZI KUWAJIBISHWA

Serikali imekiri kuwepo kwa baadhi ya askari polisi ambao wamekuwa wakifanyakazi bila kufuata maadili ya kazi hiyo.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Khamis Kagasheki amesema kuwa kufuatia hali hiyo wale wanaobainika wamekuwa wakichukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kufukuzwa kazi.



Kauli hiyo ya Kagasheki ni kufuatia swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Rombo kupitia Chadema Joseph Selasini aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali wa kuanzisha ukaguzi wa kuwatambua baadhi ya askali polisi ambao mwenendo wao siyo mzuri.

Na East Africa Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages