KIFUNGUA KINYWA CHETU CHA LEO.......... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIFUNGUA KINYWA CHETU CHA LEO..........


 Fundi umeme kutoka katika shirika la umeme TANESCO akiwa juu akirekebisha mambo ya mwanga ili yawe sawa kama kawa katika jiji la Dar es Salaam.
JE Kuna Siku Umeme Haukatiki Kweli Dar Es Salaam Na Mikoa Mingine tukiondoa ile Mikoa Ya Mipakani Kama Kagera, Mbeya, Arusha N.k kwasababu maeneo mengi ya mikoa hiyo hutumia umeme wa nchi jirani kama Vile Kagera .

Sasa Hawa Jamaa Wanatengeneza Nini Kila Siku?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages