Wachuuzi
wa samaki kwenye soko kuu la mjini Unguja pamoja na wananchi
wakimwangalia samaki mkubwa aina ya Papa aliyevuliwa Nungwi mkoa wa
Kaskazini Unguja baada ya kufikishwa Darajani mjini Zanzibar.Papa huyo
ambaye hata wavuvi walishindwa kukadiria uzito wake, alikatwa vipande
zaidi ya 10 ambapo kila kimoja kiliuzwa zaidi ya sh.200,000. (laki
mbili).
Picha na Zote na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)