Gari ya Dany Mwakiteleko iliyopata ajali.
Mhariri
wa Gazeti la Rai,ambaye pia ni Naibu Mhariri wa Kampuni ya New
Habari(2006) Ltd,Danny Mwakiteleko(Pichani)akiwa amelazwa katika wodi ya
wagonjwa mahututi ICU cha hispotali ya Taifa ya Muhimbili jana baada
ya kuapata ajali juzi usiku wakati akirudi nyumbani kwake maeneo ya
Tabata Jijini Dar es Salaam na kusababisha majeraha na maumivu katika
sehemu ya kichwani.Picha zote na Mdau Victor Makinda





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)